Share

Mshambuliaji mwenye silaha aua 49 New Zealand

Share This:

Shambulio la kigaidi dhidi ya misikiti miwili ya mji wa Christchurch nchini New-Zealand limeangamiza maisha ya watu wasiopungua 49 na wengine 50 kujeruhiwa. Mtu mmoja ameivamia misikiti miwili wakati wa sala ya Ijumaa na kufyetua risasi. Anasemekana kuwa kijana wa miaka 28 anaetokea Australia. Amekamatwa pamoja na watuhumiwa wengine baada ya shambulio hilo.

Leave a Comment