Share

Mshindi wa Super Nyota afunguka kuhusu wimbo wake mpya na ugumu alioupata kwa Dully Sykes

Share This:

Mshindi wa mwaka jana wa mashindano ya Super Nyota, Nchama The Best ambaye ameachia ngoma yake mpya ‘Tufanye Kesho’ aliyomshirikisha Dully Sykes amefunguka kuhusu wimbo huo.

Leave a Comment