Share

MSHIUKIWA WA WIZI KALAZIMISHWA ANYWE LITA 40 ZA MAZIWA “SHIDA ZIMENIPONZA”

Share This:

Said Kione Mkazi wa Iringa amekamatwa na Wananchi wenye hasira kali katika eneo la Kwanzu Hotel Miyomboni Iringa akituhumiwa kubia maziwa Lita 40(Ndoo Mbili kubwa) na akapewa adhabu ya kulazimishwa anywe lita zote alizodaiwa kuiba, unaambiwa amepambana na kufanikiwa kunywa Lita 35 baadaye wakamuachia na kumuonya asirudie tena.

Leave a Comment