Share

MSIBA KANISANI: Ni watu wawili waliofariki wakibatizwa Kilimanjaro

Share This:

Hii imetokea kwenye Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro ambako Watu wawili wamefariki wakati wakibatizwa katika mto Ungwasi ambapo Mkuu wa wilaya ya Rombo Agnes Hokororo, amesema waliofariki ni wa Kanisa la Siloam.

Leave a Comment