Share

Msikilize Miss Tanzania kabla ya kupanda ndege ‘Nitazungumza Kiswahili’

Share This:

Miss Tanzania, QueenElizabeth Makune ameelekea nchini China kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Miss World ambapo amesema mwaka huu Watanzania watarajie ushindi kwa kumpigia kura pamoja na serikali kutoa sapoti.

Leave a Comment