Share

MSIMBA WA MAJUTO: Mwanzo mwisho mwili wake ulivyofikishwa Karimjee

Share This:

Leo August 9, 2018 tunayo story kutokea katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam ambapo shughuli za kuuaga mwili wa muigizaji nguli wa filamu nchini, Amri Othman ‘King Majuto’ zimefanyika ambapo watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa kiserikali waliweza kuudhuria.

Leave a Comment