Share

Msongamnao wa wanafunzi wasababisha baadhi kukaa nje ya madarasa Katavi

Share This:

Msongamano mkubwa wa wanafunzi katika madarasa katika shule ya msingi Nsemulwa yenye wanafunzi 3,603 iliyopo katika manispaa ya Mpanda mkoani Katavi unasababisha baadhi ya wanafunzi kujifunza wakiwa nje ya darasa kutokana na upungufu wa vyumba vya madarasa .

Leave a Comment