Share

Msusi hodari mwenye ulemavu wa miguu

Share This:

Licha ya changamoto nyingi na mazingira magumu ambayo yanawakabili walemavu wengi nchini Tanzania, wapo ambao wamekuwa mfano wakuigwa nakuvutia hata kwa wale wasio walemavu. Fadina Rashid Mnjalo ni msichana mwenye ulemavu wa miguu ambaye hutembea kwa magoti umbali mrefu, kwenye chochoro na mitaa ya jijini Dar es Salaam kusaka riziki yake kupitia kazi yake ya ususi wa nywele. Tazama vidio iliyoandaliwa na mwandishi Ahmed Juma wa Dar es Salaam.

Leave a Comment