Share

Mtaalamu wa milipuko kukamilisha kesi Mwanajeshi anaedaiwa kumuua mwenzi

Share This:

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa kesi inayomkabili Mwanajeshi MT 109795 Private Ramadhan Mlaku (28) anayedaiwa kumua askari mwenzie, MT 79512 SGT Saimon Munyama inasubiliwa ripoti ya mtaalamu wa milipuko ili kukamilisha upelelezi.

Leave a Comment