Share

“Mtakuja kunikumbuka, Zitto Kabwe ni mpinzani mzalendo” -Lusinde

Share This:

Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde amelieleza Bunge kuwa miongoni mwa Wabunge wa Upinzani wenye uzalendo mkubw ani pamoja na Mbunge wa Kigoma mjini kupitia chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe

Leave a Comment