Share

MTANZANIA ALIEAJIRI WACHINA ZAIDI YA MIA TATU NCHINI KWAO

Share This:

Salaah Mohamed ni Mtanzania anaeishi China kwa zaidi ya miaka 10 pia ndie Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya Silent Ocean kwenye mahojiano na Ayo TV, millardayo.com anasemaTanzania ni rahisi kupata usajili wa kampuni kuliko China na tayari ameajiri Wachina zaidi ya mia tatu.

Leave a Comment