Share

Mtanzania Haytham alivyopata nafasi ya kujiunga na PSG

Share This:

Moja kati ya good news kwa soka la Tanzania ni kuhusiana na mtanzania Haytham Saadun kupata nafasi ya kujiunga na timu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa baada ya kufanya majaribio katika academy ya timu hiyo na kufuzu. Haytham ambaye alikwenda kufanya majaribio na kufuzu anamalizia taratibu za mwisho kwenda kujiunga na timu ya vijana ya Paris Saint Germain ambapo alifuzu baada ya kwenda kufanya majaribio ya wiki mbili nchini Ufaransa wakiwa wamekunywa vijana kutoka sehemu mbalimbali

Leave a Comment