Share

Mtanziko kwa wanaopata mimba shuleni Tanzania

Share This:

Hivi karibuni Rais wa Tanzania John Magufuli alipiga marufuku wasichana wenye mimba ama wenye watoto kurudi shule. Nini hatima ya watoto wa kike?

Leave a Comment