Share

Mtoto aliyezaliwa na moyo nje atoka hospitali

Share This:

Mtoto huyu alizaliwa moyo ukiwa nje ya mwili wake. Kashafanyiwa upasuaji mara tatu. Na amekaa hospitali miezi 14 ya maisha yake, sasa ameruhusiwa kwenda nyumbani. #venellope #watoto #moyo

Leave a Comment