Share

Mtoto Gidion Emmanuel Kupelekwa Shule

Share This:

Naibu waziri Stella Ikupa amesema serikali itampeleka shule ya jeshi la Uokovu mtoto Gidion Emmanuel mwenye Ualbino ili kuokoa maisha yake

Leave a Comment