Share

Mtoto wa Majuto afunguka kichomuua Mzee Majuto “Ni Kisukari’

Share This:

Mtoto wa kwanza wa Mzee Majuto amefunguka kueleza ugonjwa uliokuwa unamsumbua mzee huyo mpaka umauti ulipomkuta usiku wa leo katika hospitali ya Muhimbili Jijini Dar es salaam.

Leave a Comment