Share

Mtoto wa Waziri Mwakyembe, akisoma wosia wa marehemu Bi Linah

Share This:

Mwili wa aliyekuwa mke wa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe, Bi. Linah umefanyiwa ibada ya mwisho katika kanisa la KKT Kunduchi jijini Dar es salaam ikiwa ni maandalizi ya kuusafirisha mwili huo kuelekea mkoani Mbeya kwaajili ya mazishi.

Leave a Comment