Share

Muangalie mchekeshaji wa ‘kwendraa’ akionesha mautundu yake

Share This:

Mchekeshaji akionyesha manjonjo yake muda mchache baada kupita kwenye usahili wa SwahiliFlix kwaajili ya kushiriki kwenye filamu na tamthilia mpya ambazo itakuwa chini ya kampuni hiyo. Je una mtazamo gani juu ya anachokifanya?

Leave a Comment