Share

Muda ulioongezwa na TRA kulipia kodi za majengo

Share This:

Mamlaka ya Mapato Tanzania ‘TRA’ imetangaza kuongeza kwa mara nyingine muda wa kulipa kodi ya majengo ambayo kwa Mwaka Fedha 2016/17 na sasa muda wa mwisho utakuwa July 31, 2017.

Leave a Comment