Share

MUME NA MKE WALIOKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA CHINA HUKUMU IMETOLEWA

Share This:

Afisa Mwandamizi wa Ubalozi wa Tanzania Nchini Beijing China amefunguka kuhusu watanzania waliokamatwa na Dawa za Kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Baiyun Goungzhou China wakina na Mtoto wao, ‘Hukumu tayari imeshatoka kwa Mwanaume lakini mwanamke bado hajapata hukumu mpaka sasa lakini wako Hai bado”

Leave a Comment