Share

Musukuma kafunga kampeni kumnadi mgombea Ubunge Songea.

Share This:

January 12 ndio siku ya mwisho ya kufanya kamupeni katika majimbo kwa ajili ya uchaguzi wa marudio, Joseph Musukuma amefanya mkutano wa kufunga kampeni Mkoa wa Ruvuma Wilaya ya Songea kumnadi mgombe Ubunge jimbo la Songea.

Leave a Comment