Share

Mvua ya miaka miwili yanyesha kwa siku moja

Share This:

Mafuriko makubwa yameathiri maeneo mengi ya nchi za Afrika Mashariki zikiwemo; Somalia, Kenya, Sudan Kusini, Ethiopia na hata Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya mvua kubwa iliyonyesha kwa kipindi cha miezi miwili.

Umoja wa Mataifa (UN) umesema kuwa mamia ya watu wamekufa na maelfu kukosa makazi.

Leave a Comment