Share

Mvua Yaleta Maafa Katavi

Share This:

Zaidi ya kaya 100 katika manispaa ya Mpanda mkoani Katavi hazina makazi baada ya nyumba zao kubomolewa na mvua iliyonyesha mkoani humo.

Leave a Comment