Share

Mvua yaleta nafuu Australia

Share This:

Baada ya dhiki ni faraja. Hivyo ndivyo wakaazi wa Australia wanavyoweza kusema baada ya mvua ya rasha rasha kuanza kunyesha kwenye maeneo kadhaa yaliyokumbwa na janga la moto.

Leave a Comment