Share

Mvua yasababisha maafa Dar es Salaam

Share This:

Watu tisa wamefariki na wengine kadhaa wamejeruhiwa kutokana na mvua zinazoendelea kulikumba jiji la Dar es Salaam. Je hapo kwako kuna usalama? Papo kwa Papo 16.04.2018.

Leave a Comment