Share

Mvua yaua,Raia na Mifugo | Habari STAR TV

Share This:

Mvua kubwa imenyesha na kusababisha vifo ,uharibifu wa mali, mifugo na kuacha kaya zaidi ya 80 bila chakula wala malazi katika kijiji cha mwakata Mkoani Shinyanga.

Leave a Comment