Share

Mvua yazua kizaazaa Dar

Share This:

Mvua kubwa za masika zinazoendelea kunyesha katika mji wa kibiashara wa Dar es Salaam nchini Tanzania zimesababisha uharibifu wa miundombinu, makaazi na kutatiza kabisa shughuli za uchukuzi kwenye mji huo.

Mwandishi wetu Yakub Talib amefika katika eneo korofi la Jangwani na kutuletea yanayojiri

Leave a Comment