Share

Mvutano wagubika mazungumzo kati ya Tillerson na Lavrov

Share This:

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani afanya mazungumzo yenye mvutano na mwenzake wa Urusi mjini Moscow, Polisi wa Ujerumani wakaa chonjo baada ya shambulizi dhidi ya basi la Borussia Dortmund, na Rais Xi Jinping wa China, yamwambia ‘chonde chonde’ Trump kuhusu Korea Kaskazini.

Leave a Comment