Share

Mvutano zaidi eneo la Ghuba

Share This:

Marekani yadai kuidungua ndege isiyo na rubani ya Iran, iliyokaribia manowari yake ya kijeshi na kuzidisha wasiwasi katika eneo la mlango bahari wa Hormuz. Hatua hizi za kulipizana visasi zitakuwa na athari gani?

Leave a Comment