Share

Mwalimu aacha kufundisha na kuanza kuuza Maji mtaani, aonesha vyeti vyake,

Share This:

Bilo Sid Bilo ni kijana anaishi mkoani Kigoma, Baada ya kumaliza masomo yake ya uwalimu mwaka 2015 na kuanza kufundisha moja kati ya shule ya secondary ya wasichana mkoani Kigoma kwa miezi 7 baada ya kukosa ajira serikialini na kuamua kujitolea katika shule hiyo.

Leave a Comment