Share

Mwalimu Alipwa Mshahara Hewa Tangu 2009

Share This:

Waziri Angela Kairuki amewasimamisha kazi baadhi ya watumishi wa wilaya za Kilosa na Gairo kwa tuhuma za kumlipa mshahara mwalimu asiyekuwepo kazini

Leave a Comment