Share

Mwalimu aliyechapwa fimbo na Wazazi wa Mwanafunzi Geita

Share This:

Kanda ya ziwa haiishiwi habari, hii imetokea Geita kwenye shule ya msingi Bugurula baada ya Walimu kuwaadhibu Wanafunzi ambao hawakuhudhuria kufanya usafi shuleni mwezi December.

Leave a Comment