Share

MWALIMU AMBAKA NA KUMLAWITI MWANAFUNZI WA MIAKA 10 TUTION KIGOMA

Share This:

Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma linamshikilia mwalimu wa shule ya msingi Mwanga iliyopo manispaa ya Kigoma Ujiji aliye fahamika kwa jina la Zakaria Richard mwenye umri wa miaka 30 kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti mwanafunzi mwenye miaka 10 anayesoma darasa la tano katika shule hiyo.

Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Kigoma ACP Martin Otieno amewatoa hafu wakazi wa mkoa huo kwa kusema kuwa hali ya usalama inazidi kuamirika hasa katika barabara zito ambazo zimekuwa na vitendo vya utekaji na mauaji kwa wananchi.

Leave a Comment