Share

MWALIMU ASIEONA MTWARA! Anafundisha kama kawaida

Share This:

AyoTV imempata Mwalimu Justin Milanzi wa Shule ya Msingi Sabasaba iliyoko Masasi, Mtwara ambae ni mlemavu wa macho lakini hodari sana katika kufundisha.

Anawezaje kuwafundisha Wanafunzi tena wakafanya vizuri masomo yake kuliko masomo mengine? amejieleza kwa upana sana kwenye hii video.

Leave a Comment