Share

Mwalimu wa kisasa aliyewaimbisha wanafunzi ‘Don’t Don’t, Don’t Touch’ afunguka

Share This:

Wiki hii kuna video moja ambayo ilisambaa mtandaoni ikimuonyesha mwalimu, ambaye pia ni Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Iringa akiwaimbisha wanafunzi ‘DON’T DON’T, DON’T TOUCH’ kitu ambacho kimewavutia watu wengi kutokana na ubunifu alioutumia.

Leave a Comment