Share

MwanaCHADEMA afikishwa Mahakamani tuhuma kufanya vurugu katika Uchaguzi

Share This:

Mahakama ya Wilaya ya Arusha imemuachia kwa dhamana Ibrahim Musa ambaye ni mwanachama wa CHADEMA baada ya kufikishwa Mahakamani na kusomewa kosa la kumjeruhi Mwenyekiti wa CCM kata ya Kaloleni Idd Musa katika uchaguzi wa marudio katika uchaguzi wa marudio katika Kata ya Kaloleni August 12,2018.

Leave a Comment