Share

Mwanafunzi wa Nigeria aliyekamatwa na dawa za kulevya yupo huru

Share This:

Mwanafunzi kutoka taifa la Nigeria aliyekamatwa kwa madai ya ulanguzi wa dawa za kulevya nchini Saudi Arabia sasa yuko huru.
Mwanafunzi huyo kwa jina Zainab Aliyu aliponea kifungo cha kifo baada ya kesi yake kutupiliwa mbali uchunguzi ulipobaini kwamba ilikuwa ni njama ambayo maafisa wa Nigeria wamethibitisha kwamba inatekeleezwa na kikundi katika uwanja wa ndege wa Kano, Nigeria ambacho huendesha biashara hiyo haramu kutumia abiria bila ufahamu wao.

Leave a Comment