Share

Mwanaharakati Greta Thunberg ashinda Tuzo

Share This:

Mwanaharakati kijana wa masuala ya mazingira kutoka nchini Sweden Greta Thunberg pamoja na vuguvugu la vijana wanaoongoza maandamano ya kila Ijumaa kutaka hatua zaidi katika kukabilina na mabadiliko ya tabianchi wameshinda tuzo ya shirika la kimataifa la haki za binadamu Amnesty International.

Leave a Comment