Share

Mwanamitindo Daxx Cruz kuigiza Hollywood

Share This:

Mwanamitindo Daxx Cruz kutoka Bongo amekutana na producer wa filamu ya Expendable, na kufanya mwanamitindo huyo kutamani kuingia katika nyanja ya uigiza.

Leave a Comment