Share

Mwanamke aliyeteswa na mumewe Ivory Coast

Share This:

Kutana na Alimatou Bamba, mwanamke kutoka Ivory Coast ambaye aliteswa na mumewe baada ya kulazimishwa kuolewa akiwa na umri wa miaka 13. Kwa sasa anaishi mjini Abidjan na anakusudia kupambana na ndoa za mapema. Kurunzi 17.09.2019

Leave a Comment