Share

Mwanamke msomesha watoto Ethiopia

Share This:

Mwandishi wa vitabu Tsion Kiros raia wa Ethiopia amezindua vitabu vyake vyenye mfululizo wa hadithi za watoto. mwanamke huyo anasema ni muhimu kwa watoto wa Kiamharik kujifunza lugha na utamaduni wao.

Leave a Comment