Share

Mwanamke mwenye asili ya Tanzania awa wa kwanza Afrika kupata Ubunge Pakistan “Najihisi Mandela”

Share This:

Leo August 15, 2018 nakuletea hii stori kutoka huko nchini Pakistan ambapo Mwanamke aitwae Tanzeela Qambrani mwenye miaka 39 na asili ya Tanzania ameteuliwa kuwa Mbunge nchini humo na kuwa Mwanamke wa kwanza mwenye asili ya Afrika kuwa Mbunge nchini Pakistan.

Leave a Comment