Share

‘Mwanamume pia anaweza kuugua saratani ya matiti’

Share This:

Saratani ya matiti inapozungumziwa, moja kwa moja kinachowaingia fikirani watu wengi huwa ni wanawake. Lakini wajua kuwa ugonjwa huu pia huwaathiri wanaume ?
Moses Musonga, 67, ni mmoja wa wanaume wanaougua saratani ya matiti.
Aligunduliwa kuwa na ugonjwa huu mwaka wa 2013 alipofika hospitalini kupata matibabu kutokana na uvimbe uliotokea kwenye titi lake la kulia.

Leave a Comment