Share

Mwanariadha wa Kenya asema hatapunguza homoni zake

Share This:

Margaret Nyairera Wambui, mwanariadha wa kike kutoka Kenya anayetakikana kupunguza homoni zake za testosterone ili aweze kushiriki mashindano ya shirikisho la riadha duniani IAAF amesema hatofanya hivyo.

Leave a Comment