Share

Mwanasoka maarufu wa Marekani yuko nchini, amezungumzia soka la wanawake TZ

Share This:

Ayo TV imefanya Exclusive interview na mchezaji mpira wa miguu maarufu wa Timu ya Taifa ya Wanawake Marekani Alexandra Morgan ambaye amekuja nchini kuhamasisha wanafunzi wa kike wanaopenda mpira wa miguu kucheza mpira wa miguu pamoja na michezo mingine wakiwa bado mashuleni ili kuwaongezea uwezo wa kufanya vizuri zaidi

Leave a Comment