Share

MWANZA: Akamatwa akijifanya mtumishi wa Jiji na kukusanya ushuru

Share This:

Halmashauri ya Jiji la Mwanza imeanza rasmi kukusanya Mapato yake ya Ushuru wa Jiji ili kubaini Matapeli wanaokusanya Ushuru kwa utapeli bila Stakabadhi kwa kujifanya ni Watumishi wa Jiji.

Kwa mujibu wa Mwakilishi wa Mkurugenzi Jilji la Mwanza Kessy Mpakata msako umeanza kwenye sehemu za biashara, ada za usafi, vyoo vya halmashauri na kwingineko ili mapato yakusanywe na wananchi wahudumiwe kiufanisi.

Leave a Comment