Share

MWANZO MWISHO: ALIETENGENEZA ‘NI WEWE’ YA OMMY DIMPOZ KAFUNGUKA YALIYOTOKEA STUDIO

Share This:

Ni headlines za mtayarishaji Yogo Beatz ambae alikaa mwezi mmoja na Ommy Dimpoz kuandaa wimbo mpya unaoitwa NI WEWE.

Kwenye Exclusive interview na Ayo Tv Yogo Beatz amefunguka safari iliyojaa huzuni na furaha katika kuitayarisha ngoma hiyo.

Leave a Comment