Share

MWANZO MWISHO: ASKARI NANE WALIOTAKA RUSHWA YA BILIONI 1, WATOROSHA DHAHABU WAFIKISHWA MAHAKAMANI

Share This:

Watuhumiwa 12, wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza na kusomewa mashtaka 12, likiwemo la Uhujumu Uchumi, ni Askari nane kwa kuomba rushwa pamoja na raia wengine wanne.

Leave a Comment