Share

MWANZO MWISHO! RC Mwanza alivyoamua kufanya kazi usiku nje ya ofisi

Share This:

Leo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella ameamua kutumia usiku na mchana kukaa na wananchi wa Ilemela waliofika Halmashauri ya Manispaa hiyo kueleza kero za migogoro ya ardhi…unaambiwa hadi muda huu RC Mongella bado yupo na wananchi na anaendelea na zoezi la kutatua migogoro ya ardhi..

Leave a Comment