Share

MWANZO MWSIHO: Moto ulivyoteketeza ghorofa Kariakoo, Kamanda kaongea,

Share This:

Jengo la Ghorofa limeteketea kwa moto katika mtaa wa Agrey na Livingstone katika eneo la Kariako jijini Dar es salaam na kuteketeza baadhi ya mali zilizokuwepo katika jengo hilo.

Leave a Comment